+255 788 673 456
Shirika la COCO kwa kushirikiana na wadau limeendelea kuunga mkono juhudi za serikali katika elimu kwa kuimarisha na kusaidia uwepo wa miundombinu wezeshi kwa wanafunzi wa kike katika kuhakikisha upatikanaji wa elimu bora pasipo kikwazo chochote ili kuwezesha watoto wa kike kusoma kwa kujiamini na kwa uhuru zaidi.
© 2023 - Community For Change Organization. All right reserved.